CRDB yaamriwa kumlipa fidia Sh300 milioni Balozi wa Tacaids
Mahakama imefikia uamuzi huo katika hukumu iliyotolewa jana Aprili 30, 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu, Rahim Mushi, katika kesi ya madai aliyofunga Bahenge dhidi ya benki hiyo akiilalamikia kwa...